Champion_Boy
Member
- Jul 13, 2018
- 41
- 114
ni kitu kinachoshangaza kweli. Kulikuwa hakuna resistance yoyote ile yani ni kama wewe mkuu unafungua mlango wa banda la kuku unaingia unamchukua kuku unaenda kumchinja hakuna aliyepo kukuzuia. Sema maduro kazingua alijiamini sana. Mimi naona after this mission being successfull next destination is Iran Yatimie Yaliyoandikwa!Mbona hii military intervation imekuw successful sana bila madhara makubwa kwa Askari na haijachukua ata siku 2
Government ilikuw imechokwa mno hadi Jeshi lake lilikuw tayar limemchoka
Sovereign kantriwako wap wanaoshangilia mkuu au ndo siasa maji taka
Kwa muda wa masaa mawili na dakika ishirini na nne walikuwa wanafungua "banda la kuku"?ni kitu kinachoshangaza kweli. Kulikuwa hakuna resistance yoyote ile yani ni kama wewe mkuu unafungua mlango wa banda la kuku unaingia unamchukua kuku unaenda kumchinja hakuna aliyepo kukuzuia. Sema maduro kazingua alijiamini sana. Mimi naona after this mission being successfull next destination is Iran Yatimie Yaliyoandikwa!
wako wap wanaoshangilia mkuu au ndo siasa maji taka
Kwakweli hii iran ya ma Africani kitu kinachoshangaza kweli. Kulikuwa hakuna resistance yoyote ile yani ni kama wewe mkuu unafungua mlango wa banda la kuku unaingia unamchukua kuku unaenda kumchinja hakuna aliyepo kukuzuia. Sema maduro kazingua alijiamini sana. Mimi naona after this mission being successfull next destination is Iran Yatimie Yaliyoandikwa!