Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi.
Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza!
Kupitia video inayosambaa mitandaoni kwa kasi inaonesha askari wenye silaha nzito za moto wakiwa na vijana ambao wanafanya shughuli za uvuvi.
Katika video hiyo, askari wanaonekana wakiwa katika mzozo na vijana hao ambapo katika kuzozana kwao askari mmoja alitishia kumvunja mguu mojawapo ya vijana waliokuwepo eneo hilo.
Vijana walijibu kwa confidence kuwa iwapo askari huyo atamvunja raia mwenzao mguu basi askari huyo hataondoka hapo salama
======================================================