cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Dec 19, 2024 #21 Kumeanza kukuchaa sasa, safi sanaa.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Dec 19, 2024 #22 Watu wapumbavu wanakabidhiwa silaha. Unakuta mmekaa bar wanakuja na bunduki zao kunywa supu. Huwa nainuka na kuondoka immediately.
Watu wapumbavu wanakabidhiwa silaha. Unakuta mmekaa bar wanakuja na bunduki zao kunywa supu. Huwa nainuka na kuondoka immediately.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Dec 19, 2024 #23 Nachukia polisi