Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira wanazobeba ndani yao.
Kwa hali hii, huwezi kusema tatizo litamalizwa kwa maneno matamu au wito wa maridhiano pekee. Watanzania wanahitaji kuona hatua za kweli wauaji wa raia wakifikishwa mbele ya sheria, na viongozi wanaohusika wakijitokeza kuwajibika au hata kujiuzulu. Hapo ndipo hasira na maumivu ya wananchi yanaweza kuanza kutulia, na si kwa maneno ya kisiasa yasiyo na vitendo.
Wamesahau iddi amini akifa mimi siwezi kuliaNi sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira wanazobeba ndani yao.
Kwa hali hii, huwezi kusema tatizo litamalizwa kwa maneno matamu au wito wa maridhiano pekee. Watanzania wanahitaji kuona hatua za kweli wauaji wa raia wakifikishwa mbele ya sheria, na viongozi wanaohusika wakijitokeza kuwajibika au hata kujiuzulu. Hapo ndipo hasira na maumivu ya wananchi yanaweza kuanza kutulia, na si kwa maneno ya kisiasa yasiyo na vitendo.
Ni sauti za Watanzania walioko katika majonzi na hasira, wakiimba kwa uchungu wimbo maarufu wa “Hakuna Mungu Kama Wewe”, lakini wakiwa wameubadilisha na kuimba, “Hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo.” Ukijaribu kuvaa viatu vya akina mama hawa, unaweza kuhisi uzito wa maumivu na hasira wanazobeba ndani yao.
Kwa hali hii, huwezi kusema tatizo litamalizwa kwa maneno matamu au wito wa maridhiano pekee. Watanzania wanahitaji kuona hatua za kweli wauaji wa raia wakifikishwa mbele ya sheria, na viongozi wanaohusika wakijitokeza kuwajibika au hata kujiuzulu. Hapo ndipo hasira na maumivu ya wananchi yanaweza kuanza kutulia, na si kwa maneno ya kisiasa yasiyo na vitendo.
Idd Amin Mama = Idd Amin DadaWatanzania wanamuimbia nyimbo za kumlaani kama walivyomuimbia Iddi Amin
She is very part and parcel of the whole tyranny agenda.Hiyo ndo impact ya Security Forces kum-sabotage boss wao, walipaswa kufikiri political impact watakayosababisha kwa top boss wao kwa watakachokifanya....