PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Pamoja na samia kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza nchi, alipaswa kutafakari madhara ya hatua anazochukua.
Sasahivi wananchi hawamtaki, wanamuona ni muuaji.
Tangu ameapishwa ameshindwa kufanya lolote au chochote.
Taasisi za kimataifa hasa UN wanataka uchuguzi huru juu ya mauaji yaliyofanyika yeye akiwa mkuu wa nchi.
Huyu mama ataishia pabaya sana.
 
downloadfile-31.jpg



Kazi na utu tunasonga mbele kipenzi..
 

Attachments

  • 6223126-8be1d1a5066d282c809bb601c639198.mp4
    4 MB
Ni vile tu mwanamama ana uchu wa madaraka na kutaka kulinda vile walivyovipora kwa kuiba, ila nae ameshajua kama wamechokwa.
Sijawahi ona Rais ameshinda, ameapishwa zaidi week sasa. Hata wabunge wenyew Hawajampongeza.

Pia kila mahali anatajwa kwa mabaya tu. Mitandao yote, watu wanampinga.

Sijui kama atakuja kufanyaga hata mkutano wa hadhara bila kuleta machawa wamzunguke.

Yeye anatawala tu ikulu, hata ya Dar atakuwa anaiogopa
 
Pamoja na samia kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza nchi, alipaswa kutafakari madhara ya hatua anazochukua.
Sasahivi wananchi hawamtaki, wanamuona ni muuaji.
Tangu ameapishwa ameshindwa kufanya lolote au chochote.
Taasisi za kimataifa hasa UN wanataka uchuguzi huru juu ya mauaji yaliyofanyika yeye akiwa mkuu wa nchi.
Huyu mama ataishia pabaya sana.
Angejiuzulu tu. Akaenda kuishi zake Dubai huko.

Sasa hiv hata machawa wake wanashindwa kumtetea. Pressure ni kubwa mno kwa uongozi wake.

Haiwezi jiamini tena mbele ya wananchi. Nilimuona juzi, alikuwa anatetemeka mno.
Mtu yeyote hata wale karibu yake sana. Anaweza mugeuka. Sasa hiv wameziba maskio. Lakin wakirudi online na kuona misiba kila mahali na video za vijana wadogo walioiliwa, unawaza ya nini kuendelea kumlinda mtu kama huyu.
 
Sijawahi ona Rais ameshinda, ameapishwa zaidi week sasa. Hata wabunge wenyew Hawajampongeza.

Pia kila mahali anatajwa kwa mabaya tu. Mitandao yote, watu wanampinga.

Sijui kama atakuja kufanyaga hata mkutano wa hadhara bila kuleta machawa wamzunguke.

Yeye anatawala tu ikulu, hata ya Dar atakuwa anaiogopa
Alichokifanya ni kuibaka democracy, analazimisha kubaki madarakani kwa tamaa tu, lakini anajua wazi hakubaliki, anafosi kukaa hapo ili alinde vile walivyoviiba..
 
Back
Top Bottom