PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maza alifikiri anaweza kufanya tu kama Watangulixi wake na mambo yakawa sawa tu. Kitu ambacho alisahau ni kuwa kila kitu kina mwisho wake.

Ajishushe tu aombe msamaha hadharani. Ruto aliomba msamaha hadharani na hiyo ndiyo ilikuwa pong yake.

Kwa jinsi ilivyo sasa iwapo hawatakuja na suluhisho mapema basi wajiande kuua zaidi.
Bro, huyo maza ameua watu 3000+ ili abaki kwenye power, unasema atoke hadharani aombe msamaha?, wewe binafsi utamsamehe?
Samia na CCM hawawezi kukiri walichokifanya, wapo kwenye denial mode, watajifanya kuendelea na shughuli zao kama hamna kilichotokea, na hii ni ishara nzuri kuwa wananchi tunaenda kushinda hii vita, CCM hawana mkakati wowote wakukabilina na uhalisia, hawataki kukubali hawatakiwi na wananchi.
 
Watu inabidi kuweka majina ya hawa wauaji wa Samia, toa majina yao na information zao zote na sambaza kila kona
 

Attachments

  • IMG_3004.jpeg
    IMG_3004.jpeg
    426.5 KB · Views: 14
Sijawahi ona Rais ameshinda, ameapishwa zaidi week sasa. Hata wabunge wenyew Hawajampongeza.

Pia kila mahali anatajwa kwa mabaya tu. Mitandao yote, watu wanampinga.

Sijui kama atakuja kufanyaga hata mkutano wa hadhara bila kuleta machawa wamzunguke.

Yeye anatawala tu ikulu, hata ya Dar atakuwa anaiogopa
Kabla ya maandamano alikuwa anashinda dar dodoma alikuwa anachungulia na kusepa, kwa sasa dar anapaona kama kituo cha polisi.
 
Siku akikata moto huyu mama watanzania wengi watafanya sherehe
 
Idi Amini akifaaa, mimi siwezi kuliaaa,
Nitamtupa Kageraaa, awe chakula cha mamba...🎵🎶🔊

Huu wimbo tuliimba sana mchakamchaka.
 
Hawa ni wale 2% ambao hawakumpigia kura wanajifariji. Au sio wenzangu wa 98%?
Ndio anavyoamini akiona hivyo. Hata wale vijana waliokuwa barabara ni 2% maana mimi nawewe tulikuwa kwenye misururu tukitiki. "What a shame to be a Tanzanian today"
 
Back
Top Bottom