Fala sana hili shetani Samia, yaani watoto wadogo kama Nifa wakiimba tuu asipopenda ni kuteka na kuua, huyu mwehu alikuwa amejisahau sana na kujiona mungu mtu
Pamoja na samia kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza nchi, alipaswa kutafakari madhara ya hatua anazochukua.
Sasahivi wananchi hawamtaki, wanamuona ni muuaji.
Tangu ameapishwa ameshindwa kufanya lolote au chochote.
Taasisi za kimataifa hasa UN wanataka uchuguzi huru juu ya mauaji yaliyofanyika yeye akiwa mkuu wa nchi.
Huyu mama ataishia pabaya sana.

Sasa hiv hata machawa wake wanashindwa kumtetea. Pressure ni kubwa mno kwa uongozi wake.
Haiwezi jiamini tena mbele ya wananchi. Nilimuona juzi, alikuwa anatetemeka mno.
Mtu yeyote hata wale karibu yake sana. Anaweza mugeuka. Sasa hiv wameziba maskio. Lakin wakirudi online na kuona misiba kila mahali na video za vijana wadogo walioiliwa, unawaza ya nini kuendelea kumlinda mtu kama huyu.
Alichokifanya ni kuibaka democracy, analazimisha kubaki madarakani kwa tamaa tu, lakini anajua wazi hakubaliki, anafosi kukaa hapo ili alinde vile walivyoviiba..