Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
ESOTHO, KIPANDE CHA POLI, KIKATITI, MERIRANI, SING'ISI/ KWA FUNDI, JUA KALI, MOMELA, MAJI YA CHAI, NSHUPU, NGONGONGARE, NKOARANGA, AKHERI, MOSHONOWamesahau iddi amini akifa mimi siwezi kulia
Mm sina hajira mahidiha😎🔰💚Wewe tunakujua ajira mpya
Bro, huyo maza ameua watu 3000+ ili abaki kwenye power, unasema atoke hadharani aombe msamaha?, wewe binafsi utamsamehe?Maza alifikiri anaweza kufanya tu kama Watangulixi wake na mambo yakawa sawa tu. Kitu ambacho alisahau ni kuwa kila kitu kina mwisho wake.
Ajishushe tu aombe msamaha hadharani. Ruto aliomba msamaha hadharani na hiyo ndiyo ilikuwa pong yake.
Kwa jinsi ilivyo sasa iwapo hawatakuja na suluhisho mapema basi wajiande kuua zaidi.
Wanawake sasa ndio hawampendi balaaaNlikuwa najuaga wanawake ndio wanamkubali samia, sasa hii imenishangaza kidogo.
Kabla ya maandamano alikuwa anashinda dar dodoma alikuwa anachungulia na kusepa, kwa sasa dar anapaona kama kituo cha polisi.Sijawahi ona Rais ameshinda, ameapishwa zaidi week sasa. Hata wabunge wenyew Hawajampongeza.
Pia kila mahali anatajwa kwa mabaya tu. Mitandao yote, watu wanampinga.
Sijui kama atakuja kufanyaga hata mkutano wa hadhara bila kuleta machawa wamzunguke.
Yeye anatawala tu ikulu, hata ya Dar atakuwa anaiogopa
Tunakujua tangu upate ajira umekua chawa mbobezMm sina hajira mahidiha😎🔰💚
Kuwa chawa ndo kuwa ajeTunakujua tangu upate ajira umekua chawa mbobez
Usombaji wa watu utaendelea na wakumsikiliza watakuwepo, si unajuaSasa kama mpaka hao wamama wanamkataaa, Atakua anahutubia akina nani?
Ndio anavyoamini akiona hivyo. Hata wale vijana waliokuwa barabara ni 2% maana mimi nawewe tulikuwa kwenye misururu tukitiki. "What a shame to be a Tanzanian today"Hawa ni wale 2% ambao hawakumpigia kura wanajifariji. Au sio wenzangu wa 98%?