Video: Wananchi wamkamata anayedaiwa kumiliki ombaomba na kuwasambaza Dodoma kumletea kipato

Video: Wananchi wamkamata anayedaiwa kumiliki ombaomba na kuwasambaza Dodoma kumletea kipato

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wananchi wakidai kumkamata mtu anayedaiwa kumiliKI ombaomba na kuwasambaza Dodoma ili wamletee kipato

Bado wale wa Mwenge na Kariakoo, kuna wakati hadi inabidi uwe na moyo mgumu na msimamo mkali wa kiuchumi, jamanišŸ™Œ

 
IMG-20261016-WA0127.jpg
 
Back
Top Bottom