Video: Wananchi wamkamata anayedaiwa kumiliki ombaomba na kuwasambaza Dodoma kumletea kipato

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wananchi wakidai kumkamata mtu anayedaiwa kumiliKI ombaomba na kuwasambaza Dodoma ili wamletee kipato

Bado wale wa Mwenge na Kariakoo, kuna wakati hadi inabidi uwe na moyo mgumu na msimamo mkali wa kiuchumi, jamani🙌

Your browser is not able to display this video.
 
Pawe na ushahidi sasa, otherwise mtu yeyote anaweza kuvamiwa na kudhalilishwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…