Video: Wapiganaji wa RSF walivyotekeleza mauaji mji wa Al Fasher Sudan

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26


Your browser is not able to display this video.
SF​
 
AU wametulia kama hawajui kinachoendelea.

Hivi kweli nchi zote za Africa zinashindwa kupata wanajeshi vifaa,technology n.k yakupambana na upuuzi wa hapa Africa kwa hawa waasi wanazisumbua hizi nchi.

Aaaaah nilisahau kama hatuna viongozi wa maana wengi ni walewale wachache ndio wanajielewa.
 
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26


Sasa hao wananchi wana kosa gani? Si wauwane wenyewe kwa wenyewe majeshi yanayokinzana?
 
Huwezi kusema allahu akbar kisha ukafanya huu ujinga, ni aidha uko brainwashed ama unaisema kinafiki, humaanishi toka moyoni..
Kuua mtu asiye na hatia ni kosa kubwa sana katika uislam haijalishi ni muislam ama sio muislam kikubwa tu hajakuanza, hajajihami wala hana mpango wa kukua
 
Mpaka Marekani aseme, si unaona hata hapa kwetu.
 
Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26


Haya mambwa yanauana yenyewe kwa yenyewe kwa sababu ya kupewa kiburi na ujinga na waarabu. Hayana hata lugha yao wenyewe zaidi ya lugha ya bwana zao waarabu. Afrika sijui nani alituroga na lini tutapona.
 
Sasa hao wananchi wana kosa gani? Si wauwane wenyewe kwa wenyewe majeshi yanayokinzana?
Dada nauliza tu wewe ndie yule Niffah wa TikTok unaecheza wimbo wa Samia😂🤣
 
Kwani mauaji haya yanahusiana na kupewa wale 72?.
 
Wale wazee wa kuwalilia wapalestina wameenda wapi wakati huu waafrika wenzetu wanauana kwa kuchochowa na waarabu wa UAE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…