Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Hao Wasomi washajiunga VETA ili kutii agizo la Waziri Mkuu?Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Hawa ndiyo wanaosababisha waambiwe waende VETAWakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
nadhani wamesharipoti wamepewa na mabweni sasa ndiyo wanatoa tamkoHao Wasomi washajiunga VETA ili kutii agizo la Waziri Mkuu?
🤣🤣 muda wao unakaribia, VETA nafasi bado zipoHao Wasomi washajiunga VETA ili kutii agizo la Waziri Mkuu?
🤣 kabisa, sijui wanatumia mmea gani hawa jamaaHawa ndiyo wanaosababisha waambiwe waende VETA
🤯🤣nadhani wamesharipoti wamepewa na mabweni sasa ndiyo wanatoa tamko
Hahahah Waziri mkuu alionya matumizi ya skanka🤣 kabisa, sijui wanatumia mmea gani hawa jamaa
Upekuzi wa haraka ufanyike wanakoishi aiisseeHahahah Waziri mkuu alionya matumizi ya skanka
Siku hizi UVCCM ndo wasomi?Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Wao unawahusu niniWakuu

Wa magazeti labdaSiku hizi UVCCM ndo wasomi?
Tulikubaliana Tanzania hakuna wasomi hao ni wa nchi gani?Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Wapuuuzi tuu hawa.. Wameandikiwa mipasho halafu wanaisoma kama ilivyoHao Wasomi washajiunga VETA ili kutii agizo la Waziri Mkuu?