Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
- Thread starter
- #21
Machawa hawa wameshindwa kusaidia Chama chao kuondoa madudu wanaropoka tu vitu visivyowahusuWao unawahusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machawa hawa wameshindwa kusaidia Chama chao kuondoa madudu wanaropoka tu vitu visivyowahusuWao unawahusu nini
Watu kama nyie hata Ada ya shule ngumu unaingilia maisha private ya Maria; background ya baba yake wewe labda hata hujui kama utakua nayo. Mweznio Maria wala haingaiki aishi wapi kokote anaweza kuishi. Nyie vibaraka wa CCM wenzenu wanaishi wapi na wewe unaishi Tandale, ujiangalia hapo tu ndiyo uje uanze kutapika hapa.Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Lisu aende pia VETA hana ajira ya kuelewekaHao Wasomi washajiunga VETA ili kutii agizo la Waziri Mkuu?
Aweza ishi popote wapi weweWatu kama nyie hata Ada ya shule ngumu unaingilia maisha private ya Maria; background ya baba yake wewe labda hata hujui kama utakua nayo. Mweznio Maria wala haingaiki aishi wapi kokote anaweza kuishi. Nyie vibaraka wa CCM wenzenu wanaishi wapi na wewe unaishi Tandale, ujiangalia hapo tu ndiyo uje uanze kutapika hapa.
Unafikiri kila familia mtu akifariki hua wanahitaji mchango? Mchango wa nini? Hapo tu ndiyo unaonyesha wewe ni kibaka. Kama una uwezo wako unahitaji mchango wa nini? Halafu hayo ni mambo ya binafsi wewe umejuaje?wako sahihi hata mchango tu wa pesa hakutuma kwa mjibu wa wanafamilia
sawa hakuja inakuwaje hata mchango tu hakutuma?
Kwani naye ni Msomi?Lisu aende pia VETA hana ajira ya kueleweka
Wasomi wa kweli hawachanganyi mambo yao na mambo ya familia ya Sarungi.Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Wacha uongo mumewe alikuwepo mazikoniwako sahihi hata mchango tu wa pesa hakutuma kwa mjibu wa wanafamilia
sawa hakuja inakuwaje hata mchango tu hakutuma?
Atakuwa ameshariwa na nduguze, na nyie wasomi mbona mzee Ubao alipotekwa na kuuawa mlinyamaza! Au mlikuwa hamjaanza shule! Acheni hizo.Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Ndomana wanaosoma VETA Wanawapiku 😄Wapuuuzi tuu hawa.. Wameandikiwa mipasho halafu wanaisoma kama ilivyo
Hao ni wasomi uchwara ya kwao yanawashinda wanaingia kwenye umbea pumbavu kabisa hawa chawaWakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Hivi hii Nchi imekumbwa na nini!? Vijana Wa Hovyoo wanaongezeka mnoo... Why??Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia.
Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
Mumewe ndio mchango wa pesa ya mazishi?Wacha uongo mumewe alikuwepo mazikoni
Ila vijana wa Tanzania ni wa kipekee sana duniani.Wakuu