VIDEO: Wasomi wamshangaa Maria Sarungi kwa kushindwa kuja nchini kumzika baba yake

Watu kama nyie hata Ada ya shule ngumu unaingilia maisha private ya Maria; background ya baba yake wewe labda hata hujui kama utakua nayo. Mweznio Maria wala haingaiki aishi wapi kokote anaweza kuishi. Nyie vibaraka wa CCM wenzenu wanaishi wapi na wewe unaishi Tandale, ujiangalia hapo tu ndiyo uje uanze kutapika hapa.
 
Aweza ishi popote wapi wewe

Mkenya mumewe ndie anamsitiri Nairobi
 
wako sahihi hata mchango tu wa pesa hakutuma kwa mjibu wa wanafamilia

sawa hakuja inakuwaje hata mchango tu hakutuma?
Unafikiri kila familia mtu akifariki hua wanahitaji mchango? Mchango wa nini? Hapo tu ndiyo unaonyesha wewe ni kibaka. Kama una uwezo wako unahitaji mchango wa nini? Halafu hayo ni mambo ya binafsi wewe umejuaje?
 
Wasomi wa kweli hawachanganyi mambo yao na mambo ya familia ya Sarungi.

Jamani msiba ni jambo la familia, iacheni familia ya Sarungi iufanye msiba wao inavyotaka.

Si lazima familia zote zifanye misiba sawa.
 
Mbona hawakushangaa ya mzee kibao kushushwa na mitutu kupatikana maiti huko tegeta.
 
Huyu dada ni mjinga sana, amefanya Tanzania ionekane kama nchi ya hatari, sana kitu ambacho hakipo, no one is with her!, ppl are busy in build the country!
 
Ila vijana wa Tanzania ni wa kipekee sana duniani.
Yaani wao kutumiwa na kutupwa kama mpira wa kiume kwao wanaona sawa na kawaida tuu!!
Muonekano wao tuu unaonyesha kuwa wao ni "disposable" na wanafurahia hali hiyo!
Umasikini wa akili ni mzigo usiobebeka.
 
Wakimaliza hapo VETA inawasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…