VIDEO: Wasomi wamshangaa Maria Sarungi kwa kushindwa kuja nchini kumzika baba yake

Hao ndio Binadam,angekuja akakamatwa au kutekwa mngesema kwanin asingebaki huko huko.
 
Wapuuuzi tuu hawa.. Wameandikiwa mipasho halafu wanaisoma kama ilivyo
Wajinga kweli....
Siku hizi Tanzania full uoga hadi mtu anaogopa kusema hadharani kama anaumwa mpox. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati kusema unaumwa hadharani linaweza kuwa kosa. Nimegundua enzi za jk tulikuwa na uhuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…