Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
_Yani nga inalenga pale pale
_ Hakuna jengo la jirani lililoathirika.
Hii inawezekanaje...?
_Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
 
_Yani nga inalenga pale pale
_ Hakuna jengo la jirani lililoathirika.
Hii inawezekanaje...?
_Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
Wapalestina wangekaa kimya tu hao waisrael si watu wa kawaida kushindana nao ni kujiumiza bure
 
Wabongo bhana yaani vifo vya watu mnafanya kama ushabiki wa Simba na Yanga...ni kuomba Vita ikome madhara ya pande zote mbili sio mazuri ni binadamu hao...
 
Dah HAMAS wameingia cha kike.

Hapo ni makwenzi mwanzo mwisho hakuna wa kuwasaidia.
 
Makomandoo au special forces walishatua Gaza tayari na kuweka vifaa maalumu kwenye Target zao hivo vifaa Ndio vinawasiliana na makombora kwa kusaidiana na satellite 🛰
 
... huo mjengo umedondoshwa wima ili usilete madhara pembeni! Wale viongozi wa magaidi waliuliwa humo bila kuleta athari kubwa kwa wasiohusika. Safi sana; kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe.
 
Nmeangalia bbc kwanza kuna makombora ya kutoa onyo kwa raia yalikuwa yanatua pembeni ya hili jengo ila yalikuwa hayana madhara.

Na mtangazaji akawa anasema hilo jengo litadondoshwa muda si mrefu. Na baada ya makombora ya onyo ndio yakafuata hayo yaliyoharibu kabisa.
 
Hizi kitu ni moja ya siraha za kisasa kabisa na ambazo ndizo teknolojia inafanya kwa sasa,wakati wewe unapeleka majeshi uwanjani mwenzako anakuangalia na kusema hiiiiii, anakuchapa ukiwa chumbani unaagana na mkeo.

Hizi kitu when an effect it chooses the time, area, width and length of activation the specific target without affects proprietor card(s) that it will affects kwa wengine, remember up to all there's connection from satellite.

Foreigner nations has the newest version of the armor that use when they are looking for ones ambaye aonekane uwanja wa mapambano, so wanamnyofoa huko aliko kwa aina hii ya siraha 😁!.
 
Duh! Hii ni hatar.
Kuna series moja inaitwa “Fauda” inafundisha kitu kuhusu hii vita ya hawa mahasimu ila wanaoumia ni watoto na wananchi sasa sijui itaisha lini.
 
... daadeki! Kuna jamii zina akili sio mchezo!
 
... message delivered viunga vya Tehran! Kama maandishi hawayajui japo wajifunze kupitia hilo trela! Picha lenyewe bado wala Gaza sio pahala sahihi pa kulicheza!
 
... huo mjengo umedondoka wima kwa awamu tatu; ilianza kushuka wing ya kushoto; ikaja ya kulia; kisha likamalizikia the main one la katikati. Sipati picha waliokuwa "kikaoni" in any room kwenye hilo la katikati at that moment; hizo panic nadhani walikufa kifo kibaya sana kabla hata halijadondoka! Safi sana! Cc: STRUGGLE MAN; Bwana Utam
 
Israel hawana lolote. Palestina inatumiwa na US kujaribia silaha zao kwa ngozi ya Israel. Soma vitabu meaning of CIA n.k
 
_Yani nga inalenga pale pale
_ Hakuna jengo la jirani lililoathirika.
Hii inawezekanaje...?
_Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
Zinaitwa smart bomu mkuu
 
Wapalestina wangekaa kimya tu hao waisrael si watu wa kawaida kushindana nao ni kujiumiza bure
KINACHONIKERA NI KIMOJA TU,HAO WANAMGAMBO WA PALESTINA NDIO WALIOANZISHA TIMBWILI LOTE HILO,MASKINI YA MUNGU ISRAEL ALIKUWA HANI HILI WALA LILE GHAFLA ANASIKIA MAKOMBORA ZAIDI YA MIA YANATUA ISRAEL,KWA UCHOKOZI HUU WA PALESTINI DHIDI YA MTU ALIYEKUWA AMETULIA ACHA APATE KISAGO MAANA HUU SASA NI UPUUZI KABISA,HAPO ZAMANI BINAFSI NILIKUWA NAJUA ISRAELI NDIO WACHOKOZI.
 
HAPO ZAMANI BINAFSI NILIKUWA NAJUA ISRAELI NDIO WACHOKOZI.
🤣 😀
Nilishangaa nasikia UN walitaka kuwaweka Uganda, wakakataa wakasema wanataka nchi yao, huwa sipati picha kama wangekaa Uganda ikaanza opereshen panua mipaka sijui kama tungesalimika



Declaration of the British Government allocating a “Jewish Territory” in East Africa (August 29, 1903)
CLICK TO ENLARGE​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…