Video: Watanzania wampongeza rais wao kwa kusoma hotuba ya kingereza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hehehe!! Lugha ya Kingereza huwababaisha na kuwatesa sana wenzetu wa kusini, yaani kitu cha kawaida kama rais kusoma hotuba iliyoandikwa kwa lugha ya kingereza anashangiliwa na kupongezwa sana, hamna anayejadili wala kutaja hoja za hotuba ya rais.
Watakuambia kingereza ni cha mkoloni hawakitaki mara Wachina hawajui kingereza lakini wanafanya makubwa, mara kingereza sio kipimo cha elimu, mara hiki mara kile, yaani vijisababu vyote vya kujiliwaza kwa kushindwa kujifunza kingereza.

Ukienda Bongo utakuta mabango kote yanatangaza nafasi za kujifunza na kuongea Kingereza ndani ya miezi mitatu, sijui nani kawadanganya lugha ni kitu cha kujifunza ndani ya muda mfupi hivyo na unaanza kutema yai moja kwa moja.

Watanzania wachache waliojifunza Kingereza na kukizungumza kwa weledi wananufaika pakubwa maana fursa zipo kibao, nyingi zinashikiliwa na wageni. Kila Mtanzania mwenye hela yake huhakikisha wanae wanasomea kwenye shule zinazofundisha kingereza, walalahoi wa st kayumba aka kajamba ndio wameachwa wakidangaywa wagande kwenye kiswahili tu eti ndio kujikomboa kutoka kwa wakoloni halafu nafasi za ajira zinapotangazwa humo wanachomekea "lazima ujue kuandika na kuongea kingereza kwa ufahasa"

 
We must change that situations , mkuu kachanganya plural na singular. Anapwaya katia vocabulary na grammar ni shida lakini anaeleweka. Mkapa ndio kiongozi aliyemaster English lakini wengine walijtahidi. ila boss aliyepo ni wale ambao tunasoma notes za kiingereza halafu tunazijadili kwa kiswahili. Hayuko peke yake hata majaji wetu ni hivo hivo. Lugha kama huitumii ni ngumu kuimaster.
 
Wakenya mpo vizuri kwenyr kingereza mnajua sana sanaaa yaani kupita hata waingereza wenyewe komaeni kwenye kingereza kitawaletea utajiri na maendeleo mazuri sana kitawapa marafiki wengi kitawalipa mishahara kitawajengea miundo mbinu wakenya mpo juu kwa kiingereza kuliko nchi yoyote duniani safi sana kama wakenya mna kitu cha kujivunia.
Hizo ndo sifa za kijinga wakenya mnazo ziwaza na kuzipenda sina hiyana nimewapa na nyingine nilizo sahau nikizipata wakenya nitawaekea.
Tanzania haiitaji kingereza ili kujiendesha au kufanikiwa tunahitaji akili, utayari, uthubutu madhubuti fikra pana na uwezo wa kutumia nguvu kikamilifu kwa maendeleo ya taifa letu.
 

Hehehe! Pole ila ndivyo ilivyo, kinawatesa sana kingereza...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tutakuja kumpa MTU sifa za jinsia pendwa yamkini atashangilia
 
Kama unaweza panda vyeo vya serikali kutoka mbunge, kwenda waziri hadi Rais bila kujua kiingereza cha kudondolea puani basi hamna advantage yeyote ya lugha ya mkoloni. Maisha ya John pombe Magufuli mtoto wa maskini yana ashiria haya kwa uwazi kabisa.
Umasikini mnauona kama sifa ya promo!!?
 
Hii AIBU Sasa ...awamu hii tunadharaulika Sana kwa sababu ya huyu kichaa wetu
 
Sifanyi promo kaka nahizo fikra zako eti umaskini au utajiri ndio fisa ni utoto
Mtoto wa "maskini" anamshinda nini "Raia" wa tanzania!?
Hii "maskini" umeitaja ili nini kitokee kwa msomaji wako?

Msifieni na komwe basi.
 
Hii AIBU Sasa ...awamu hii tunadharaulika Sana kwa sababu ya huyu kichaa wetu
Hivi ukikamatwa utasema umeonewa.... Anko usipende tukana mtu humu ukidhani sifa afu kumbuka humu hamna anaekujua na ukidakwa uoneshe huyo kichaa jua utakua pekee ako anko.. Muda mwingne mnalalamika wakati mnaanza wenyew matusi ila endelea ..but usije sema hukuambiwa maana nyie mkidakwa ndio kelele nyingi hadi mnasahau kua mlitukana MTU.
 
Reactions: Oii
Mtoto wa "maskini" anamshinda nini "Raia" wa tanzania!?
Hii "maskini" umeitaja ili nini kitokee kwa msomaji wako?

Msifieni na komwe basi.
Nimetumia jina maskini sababu mleta mada ana ashiria kwamba watoto wa maskini hawana fursa sawa ya kujiendeleza kimaisha sababu hawasomi lugha ya kidhungu..
 
Hongera anko magu.. Umejikaza kweli kweli hadi mishipa yote inaonekana mazee... Umetiririka ung'eng'e huku ukitema yaiii[emoji3][emoji3]
 
Hili suala la lugha ya English huwa linanipa kipimo cha umbumbu wa mtu, sijui ni kutokana na ulimbukeni {lack of exposure} wa watu wengi au vipi, mimi nimekua interacted na watu wa mataifa tofauti kwenye organisations za kimataifa kiukweli wapo wazungu ambao wakiongea English utatamani kuwaziba midomo

Kuna wazungu hawajui kabisa tofauti ya baadhi ya consonants and vowels they are mixing especially from Eastern Europe countries na majority hawajui kabisa English but you won't expect inferiority in the, they confident and don't look down just because of their second language

Ni baadhi tu ya mbumbu za kiafrika ndio tunateseka, lakini ni sababu ya colonial legacy, back then sio mtu tu akiongea kama mzungu alikua anaheshima na kuonekana wa maana kwenye jamii {upper class} bali hata mpaka styles za nywele.

 
Wanavopenda sifa muda sio mrefu utasikia eti Jiwe kashinda tuzo la kuongea kiingereza kwa ufasaha. Alafu tuzo lenyewe atakabidhiwa na yule rais wa Yemen yule, Ghadaffi! 😀
 
umeandika kiunyonge sana sijui nani kakukosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…