VIDEO: Watoto hawa wanatrend Afrika, wateka Mioyo ya wengi – umejifunza nini?

VIDEO: Watoto hawa wanatrend Afrika, wateka Mioyo ya wengi – umejifunza nini?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?

 
Plan ( Yale yote unapitia kutoka usikojua kufika unakokujua na kutaka)
 
Kimsingi hapo wote wameshinda.
Tusubiri maisha ya kitaa wakimaliza shule nani atapambana na vikwazo kisawasawa.
 
Simple to complex kwenye ufanyaji kazi inayohitaji muda maalumu huwa ni ngumu unakosa nguvu as muda unavyoenda ila ukianzia kugumu motivation inakuwa high as muda unazidi kwenda
 
Back
Top Bottom