Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Feb 6, 2025 #1 Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? Your browser is not able to display this video.
Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? Your browser is not able to display this video.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Feb 6, 2025 #2 Hapa inaonesha ni jinsi gani ya kutatua matatizo kutegemeana na akili au mtizamo wa mtu. Inapendeza.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Feb 6, 2025 #3 Kutangulia si kufika.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Feb 6, 2025 #4 Waufukweni said: Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? View attachment 3226854 Click to expand... Akili ni nywele kila mtu ana zake.
Waufukweni said: Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? View attachment 3226854 Click to expand... Akili ni nywele kila mtu ana zake.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Feb 6, 2025 #5 Waufukweni said: Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? View attachment 3226854 Click to expand... Mafanikio yanaanzia mbali
Waufukweni said: Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda? View attachment 3226854 Click to expand... Mafanikio yanaanzia mbali
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Feb 6, 2025 #6 Plan ( Yale yote unapitia kutoka usikojua kufika unakokujua na kutaka)
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Feb 6, 2025 #7 Kimsingi hapo wote wameshinda. Tusubiri maisha ya kitaa wakimaliza shule nani atapambana na vikwazo kisawasawa.
Kimsingi hapo wote wameshinda. Tusubiri maisha ya kitaa wakimaliza shule nani atapambana na vikwazo kisawasawa.
kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Feb 6, 2025 #8 Simple to complex kwenye ufanyaji kazi inayohitaji muda maalumu huwa ni ngumu unakosa nguvu as muda unavyoenda ila ukianzia kugumu motivation inakuwa high as muda unazidi kwenda
Simple to complex kwenye ufanyaji kazi inayohitaji muda maalumu huwa ni ngumu unakosa nguvu as muda unavyoenda ila ukianzia kugumu motivation inakuwa high as muda unazidi kwenda