Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hawa ndiyo wanaoamini kuwa Ali Kamwe ndiyo Mungu wa Yanga, akisema Yanga itashinda basi wanaamini hivyo hivyo, hawajuwi kuwa Ali Kamwe ni mropokaji tu na hajuwi chochote kuhusu mpira. Anyways, ni mashabiki wa Yanga a.k.a. wala mihogo na viazi vibichi wa Dar, haana akili timamu hata Haji Manara analijuwa hilo na aliwaambia live lakini bado wanamuona kama Mungu wao mpaka leo hii.Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
View attachment 2639287
Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
View attachment 2639287
Sijaangalia hiyo video ila inawezekana nawewe upo kama huyo alikamwe au manara au utopolo, ushabiki wa Mpira kwa namna hii ni UK*maHawa ndiyo wanaoamini kuwa Ali Kamwe ndiyo Mungu wa Yanga, akisema Yanga itashinda basi wanaamini hivyo hivyo, hawajuwi kuwa Ali Kamwe ni mropokaji tu na hajuwi chochote kuhusu mpira. Anyways, ni mashabiki wa Yanga a.k.a. wala mihogo na viazi vibichi wa Dar, haana akili timamu hata Haji Manara analijuwa hilo na aliwaambia live lakini bado wanamuona kama Mungu wao mpaka leo hii.
ππππ
Wanapatikana Mabagala na TemekeInashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
View attachment 2639287