Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Nyumbu kwa kujitekenya na kucheka wenyewe hawajambo Kwakweli. Hongereni kwa hilo, ccm Iko busy na masuala makubwa ya kitaifa na kimataifa.
 
Dahhhh...
Ila hii nchi ni kubwa sana, kuna maeneo ukitajiwa leo unabaki kujiuliza tu kwamba "hivi kumbe na huko ni tanganyika?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…