Video: Waziri wa Afya alipohimiza wanaume kuwafikisha kileleni wanawake

Na ukitaka kumfikisha kileleni, pitia uzi wangu.

Hamna mwanamke anayejihisi Duniani kaumbwa pekeake tu kama Anayefika kileleni... Bahati mbaya 75% ya wanawake mpaka wanakufa, hawajawi fika kileleni.

Kama Mume , Utapewa Heshima ambayo kwa hapa Dunian ni wewe kwanza.

Migogoro yote yote ndani ya Ndoa, inaanzia hapo.

Ndo zinafata sababu nyinginezo kama uchumi...n.k.
 
Huyu na Magufuli akili moja. Wanalazimisha kuchekesha kwa kuongea ujinga usiyo na maana. Jamani siyo lazima kila mtu awe na kipaji cha sense of humour. Mambo kama hayo waliyaweza watu kama kina mwalim Nyerere.
 
Na ukitaka kumfikisha kileleni, pitia uzi wangu.

Hamna mwanamke anayejihisi Duniani kaumbwa pekeake tu kama Anayefika kileleni... Bahati mbaya 75% ya wanawake mpaka wanakufa, hawajawi fika kileleni.

Kama Mume , Utapewa Heshima ambayo kwa hapa Dunian ni wewe kwanza.

Migogoro yote yote ndani ya Ndoa, inaanzia hapo.

Ndo zinafata sababu nyinginezo kama uchumi...n.k.
Vijana wa kizaz kipya.... fanya kaz acha kupoteza muda wako ndugu yangu
 
aiseeee mambo ya kileleni haya hatari sana

Screenshot (10).png
 
Na ukitaka kumfikisha kileleni, pitia uzi wangu.

Hamna mwanamke anayejihisi Duniani kaumbwa pekeake tu kama Anayefika kileleni... Bahati mbaya 75% ya wanawake mpaka wanakufa, hawajawi fika kileleni.

Kama Mume , Utapewa Heshima ambayo kwa hapa Dunian ni wewe kwanza.

Migogoro yote yote ndani ya Ndoa, inaanzia hapo.

Ndo zinafata sababu nyinginezo kama uchumi...n.k.
We jidanganye tu
 
Huyu Mama abaki tu.. Hata baraza likivunjwa..
 
Huyu mama ninawasiwasi nae, sio kwa ufyatu huu
 
Back
Top Bottom