simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
We cannot manage - really? Ummy unasuburi nini kuwasilisha resignation letter ili mbadala mwenye nia na ari ya kupambana na janga hili ashike usukani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika MK254 anajitahidi.
ningekuwa mimi ni uhuru kenyatta, ningetuma watu wangu wamtafute huyu jama, halafu ningemtumia kama mtu wangu wa propaganda kwa upande wa nchi zote za EA zinazozungumza kiswahili. angeisaidia serikali ya kenya katika agenda zake za kikanda.
shida ya kenya huwezi kupata nafasi ya kuwa karibu na watawala kama haupo kwenye circle yao. na hii haingalii kama wewe ni mkikuyu, jaruo au kalenjin.
yote ambayo huyu jamaa anayafanya hapa jf anafanya tu kwa kusukumwa na uzalendo, wenyewe wanaita "blind patriotism".
Uko vizuri sana ktk hii lugha adhimu ya kiswahili hongera!Hehehe!! Kazi za namna hiyo siwezi, haitokuja siku nimshobokee kiongozi yeyote hata kwa mpunga, humu tupo tu kupaishana siku ziende, kuna baadhi yetu kazi zetu huwa zina kaupweke fulani, lazima tupigishane makelele kwenye mitandao ya kijamii, pia huwa naachia nondo kule Quora.
joto la jiwe usikubali kuitwa muoga. 😁Kuna hii ngombe ya kuanzisha thread kumi kwa siku haiwezi kanyaga hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu usiejielewa asilani, hizi ligi zako zisoisha unalipwa kiasi gani na wakenya?Hiyo ndio lugha mtumie, acheni kuchekelea juhudi zetu huku mkijisifu kwamba nyie mna uwezo mkubwa zaidi ya wote tuwaige, hapa Afrika tunakwenda tu hivi hivi kibahati bahati, wenye uwezo zaidi yetu mara 1,000 wanakufa kwa maelfu, hapa Afrika kuna mitaa bila hata maji ya kunywa sembuse ya kunawa mikono?
Hawa hapa wnaopigania maji ya kunywa, ndio wanategemewa wawe na maji ya kunawa kila baada ya dakika kumi, kirusi kinaua wenye mabomba ya maji na sink pembeni mwa hata kitanda chumbani.
Video ni ya zamani kabla hata hakijapatikana kisa kimoja.Nimeipata hii video kwenye uzi mwingine, Watz wanaopiga vifua huku wakisema tuwaige wao kwamba wana mbinu bora za kuidhibiti Corona, waitazame hii video, waziri anakiri kuhusu uwezo wao kuwa mdogo, hususan akiwaangalia Watanzania mpaka mwenyewe anacheka tu, maana wapo wapo tu.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/04/2368365_VID-20200414-WA0020.mp4
Endelea kuomba maombi yako yajibiwe ndugu mwananchi..Nasema hizi week 2 zinazokuja tutakufa vibaya vibaya hakuna cha kubisha...
Total lock down inakuja taka tusitake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo ninyi na userious wenu wangapi mmeikimbia karantini?
joto la jiwe usikubali kuitwa muoga. [emoji16]
Nyuzi zinapungua kadri Hali inavyo kuwa ngumu Dona kantri.
Ndio kawaida yao hawa jirani zetu, kwenye kila jambo. Uswahili mwingiii na uccm kwanza, mambo ya kuwa serious huwa wanaanza wakishamaliza usanii wao wa kawa.Nikama tanzania ndio mnaanza kutake Covid-19 viserious sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeona propaganda za kua tumesifiwa kwa kuwa hatujaweka lockdownNasema hizi week 2 zinazokuja tutakufa vibaya vibaya hakuna cha kubisha...
Total lock down inakuja taka tusitake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio maombi yangu.Hata Italy walipuuza kama sisi.Yohana amewalisha maharage ya wapi ninyi?
Sio maombi yangu.Hata Italy walipuuza kama sisi.Yohana amewalisha maharage ya wapi ninyi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisa Jirani.Ndio kawaida yao hawa jirani zetu, kwenye kila jambo. Uswahili mwingiii na uccm kwanza, mambo ya kuwa serious huwa wanaanza wakishamaliza usanii wao wa kawa.
Ndio kawaida yao hawa jirani zetu, kwenye kila jambo. Uswahili mwingiii na uccm kwanza, mambo ya kuwa serious huwa wanaanza wakishamaliza usanii wao wa kawa.