Video: Waziri wa Tz awa mkweli kuhusu wao kutoweza hii ngoma, inabidi kumuachia Mungu

Video: Waziri wa Tz awa mkweli kuhusu wao kutoweza hii ngoma, inabidi kumuachia Mungu

We cannot manage - really? Ummy unasuburi nini kuwasilisha resignation letter ili mbadala mwenye nia na ari ya kupambana na janga hili ashike usukani?
 
hakika MK254 anajitahidi.
ningekuwa mimi ni uhuru kenyatta, ningetuma watu wangu wamtafute huyu jama, halafu ningemtumia kama mtu wangu wa propaganda kwa upande wa nchi zote za EA zinazozungumza kiswahili. angeisaidia serikali ya kenya katika agenda zake za kikanda.


shida ya kenya huwezi kupata nafasi ya kuwa karibu na watawala kama haupo kwenye circle yao. na hii haingalii kama wewe ni mkikuyu, jaruo au kalenjin.

yote ambayo huyu jamaa anayafanya hapa jf anafanya tu kwa kusukumwa na uzalendo, wenyewe wanaita "blind patriotism".

Hehehe!! Kazi za namna hiyo siwezi, haitokuja siku nimshobokee kiongozi yeyote hata kwa mpunga, humu tupo tu kupaishana siku ziende, kuna baadhi yetu kazi zetu huwa zina kaupweke fulani, lazima tupigishane makelele kwenye mitandao ya kijamii, pia huwa naachia nondo kule Quora.
 
Hehehe!! Kazi za namna hiyo siwezi, haitokuja siku nimshobokee kiongozi yeyote hata kwa mpunga, humu tupo tu kupaishana siku ziende, kuna baadhi yetu kazi zetu huwa zina kaupweke fulani, lazima tupigishane makelele kwenye mitandao ya kijamii, pia huwa naachia nondo kule Quora.
Uko vizuri sana ktk hii lugha adhimu ya kiswahili hongera!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio lugha mtumie, acheni kuchekelea juhudi zetu huku mkijisifu kwamba nyie mna uwezo mkubwa zaidi ya wote tuwaige, hapa Afrika tunakwenda tu hivi hivi kibahati bahati, wenye uwezo zaidi yetu mara 1,000 wanakufa kwa maelfu, hapa Afrika kuna mitaa bila hata maji ya kunywa sembuse ya kunawa mikono?

Hawa hapa wnaopigania maji ya kunywa, ndio wanategemewa wawe na maji ya kunawa kila baada ya dakika kumi, kirusi kinaua wenye mabomba ya maji na sink pembeni mwa hata kitanda chumbani.
Wewe ni mpumbavu usiejielewa asilani, hizi ligi zako zisoisha unalipwa kiasi gani na wakenya?
Kutwa kuchwa wewe unatafuta watanzania na nchi yao tu.
Unaonyesha umbulula mpaka kwenye mlipuko Wa ugonjwa unaoisumbua dunia nzima.
Una ubora gani Wa kudhibiti ugonjwa kuzidi hao first world countries wanaotafuta msaada kutoka juu?
Jaribu kuficha upumbavu wako hasa kwenye issue ya covid19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hizi week 2 zinazokuja tutakufa vibaya vibaya hakuna cha kubisha...

Total lock down inakuja taka tusitake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeona propaganda za kua tumesifiwa kwa kuwa hatujaweka lockdown
Last week tulimsikia waziri anasisitiza kuwa tunaambukizana wenyewe
Ndege za kimataifa tumefuta safari
Muda wa vyuo na shule umeongezwa
Lockdown ni ngumu sana hatukatai ila maradhi ndo hatayawezi kabisa
Nachoona wahusika hawana mikakati sahihi kupambana na hali ya umasikini tulio nao na janga lililo mbele

Eti mzee baba asifiwe kwa kutoweka lockdown, kitakachofwata naona ni historia mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If this thing strikes hard, no country can cope. Mifano mmeiona Italy, Spain na USA. Kama New York kwenyewe wanalia hawana ventilators, sisi ni akina nani hasa?

Harafu huu sio muda wa kusutana na kuwazodoa watu flani kwamba “wapo wapo tuu”
 
Nje ya mada kidogo. Hivi mleta uzi ulishachiwa pale Oysterbay police, maana uliwahi kuja Tz kumtembelea Mshana Jr bahati mbaya ukapoteza mawasiliano naye alikuwa nje ya mji kidogo hivyo akawa kaomba msaada kwa members watakaokuwa na nafasi waje kukutoa. Tunaomba mrejesho kama hautojali
 
Ndio kawaida yao hawa jirani zetu, kwenye kila jambo. Uswahili mwingiii na uccm kwanza, mambo ya kuwa serious huwa wanaanza wakishamaliza usanii wao wa kawa.
Uko sawa kabisa Jirani.
Nawaona mlivo wazungu na ambavyo kwenu hakuna case hata moja ya ugonjwa wala kifo.....well done, let them Tanzanians be na wakufwe kabisa mpone ninyi mlio serious na hamna liccm huko kwenu.
 
Video ni ya zamani kabla hata hakijapatikana kisa kimoja.

Je uhalsia wa kile alichokisema umebadilika kitu? Hao Watanzania anaowasema na kucheka, je wamebadilika na kuwa zaidi ya wenzetu Ulaya kwa tahadhari???
 
Ndio kawaida yao hawa jirani zetu, kwenye kila jambo. Uswahili mwingiii na uccm kwanza, mambo ya kuwa serious huwa wanaanza wakishamaliza usanii wao wa kawa.

Juzi ndio wameshtuka na kufunga viwanja vy ndege, huwa wako very slow kifikira na kimtazamo.
 
Back
Top Bottom