Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

IMG_7782.jpg
Hapa alifanyiwa upasuaji?
 


MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.

Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiidi wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfuyrahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani.

namuona Romy J yuko like Wooow!!!! hilo tayko limepasuka vizuri sana dooh
 
Back
Top Bottom