Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nimekusoma mkuu... kuna wakati lazima tuzikubali tofauti zetu na hasa kwenye udhaifu, na kwa namna hiyo tu ndo tutaweza kuishi kwa amani...Nimefurahishwa na jibu la AHSANTE, badala ya kumjibu kwa tusi! Jibu limeonyesha UTOFAUTI WA HEKIMA!