Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Toka zari na daimond waachane kafurahi kweli kachizika anarusha vijembe ,wanawake kama wema wengi kweli anachizika kwenye hakuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20180324-215636.png

Tunaambiwa baada ya Idd Amin, alifuata Zari!
 
Nimeona dimpo [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 


MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.

Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiidi wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfuyrahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani.


Mungu alijua ndiyo maana mpaka leo hajampa Mtoto kwani kwa tabia za ' Kipumbavu ' kama hizo sijui huyo Mtoto angejifunza nini kutoka kwa Mama yake. Kweli nimeamini kwamba Mwenyezi Mungu anajua kila ' Kusudio ' la mja wake na ndiyo maana kuna anaowanyima na anaowapa kwani huwa anakuwa ameshatusoma tokea akiwa anatuumba. Umri aliofikia Wema Sepetu sasa siyo tena wa kufanya ' Upuuzi ' huo na badala yake awaachie wanaochipukia kama akina Gigi Money na wengineo baadhi. Anajiaibisha na huko mbele atakuja Kujuta kwa mengi huku muda nao ukiwa umeshamuacha.
 
Huyu mdada anajua sikuhizi hatumwogopi kifimbocheza tunamwogopa shonza? Mama hawauku njoo
 
Aisee Jinsi wema alivyoumbikaa kwa kweli Diamond yupo sahihi kurudiana nae...!! Hakuna wanaume rijali asiependa wowo.....wooo hasa zurii ka lileee..!! Mondi ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]madame[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom