Huyu dada alikuwaga mzuri sana, na alibarikiwa shepu ya asilia kabisa. Alikuwa kiportable fulani hivi mwenye rangi ya chocolate.
Kwa kweli alikuwa mzuri sana. Sasa sijui kilimkuta nini akaanza kujichubua, na KUTUMIA madawa kuongeza makalio kwa kweli shepu yake imeharibika. Makalio feki sijajua kayapendea nini. Picha hizi zaonyesha alama ktk kalio lake la kulia ambalo ni wazi kabisa kuwa ni sehemu iliyotumika kuingiza "dawa" maeneo hayo ili kuyaumua makalio yake.
Ushauri: Wanawake ridhikeni na miili yenu alivyowaumba Mungu, kufanya alichofanya Wema ni uhaini kwa Mungu.
View attachment 724617
View attachment 724626
View attachment 724627
View attachment 724629