Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

ila jamani wakubwa wanafaudu duh!!hivi kwa nini mimi sina hela??
 
Ila ndugu zake Diamond wanafiki sijawahi ona..leo washamsahau zari wa watu
 
Huyu dada alikuwaga mzuri sana, na alibarikiwa shepu ya asilia kabisa. Alikuwa kiportable fulani hivi mwenye rangi ya chocolate.
Kwa kweli alikuwa mzuri sana. Sasa sijui kilimkuta nini akaanza kujichubua, na KUTUMIA madawa kuongeza makalio kwa kweli shepu yake imeharibika. Makalio feki sijajua kayapendea nini. Picha hizi zaonyesha alama ktk kalio lake la kulia ambalo ni wazi kabisa kuwa ni sehemu iliyotumika kuingiza "dawa" maeneo hayo ili kuyaumua makalio yake.
Ushauri: Wanawake ridhikeni na miili yenu alivyowaumba Mungu, kufanya alichofanya Wema ni uhaini kwa Mungu.

View attachment 724617

View attachment 724626

View attachment 724627

View attachment 724629
Sawaa
 
Back
Top Bottom