mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Hahahaaaa!kwanza nakiri kwamba hiyo video nimeiangalia sana kwani nilivutiwa na huo msambwanda ila baada ya kugundua hicho kitu kwenye wowowo nilijiuliza sana mishowe nikajiongeza kuwa ndo sehemu waliyopitishia amira kuongeza hilo wowowo.Mpaka sasa hivi naona kichefuchefu tu hiyo video yenyewe
Amfungie mtu anaenda kujipumzisha sehemu kwa kuogelea na bikini kisha kuchukua picha za kumbukumbu?Naibu waziri hajamuona amfungie?? Lol.
Kama kuna mtu alimpitia kipindi hicho ndio alifaidi.Alikuwa mtamu sn ila saaizi anamastress lufa mtu....
Naunga mkono hojaHebu tupiamo kapicha mkuu tuone hilo shimo la sindano ili tudhihirishe kuwa mtoa mada anamsingizia Wema.
Leta ushaidi, la sivyo utakuwa unamtetea wemaHakuna ufake,hizo ni sindano za kroloquine,mimi mwenyewe nina shimo la sindano.
Weee[emoji3][emoji3][emoji3]mond kanogewaa na muwowooila juwa kuwa Diamond na Zari hawajaachana na watafunga ndoa mwaka huu anayebisha ntamkumbusha siku hiyo
acha uongo!!fanya mpango tulione..!!kama kweli..Hakuna ufake,hizo ni sindano za kroloquine,mimi mwenyewe nina shimo la sindano.
itakuwa chaos ndo maana leviathan amekuj kucontrol hiyo chaos.Kila mtu aishi apendavyo
Hahaha kashachanganyikiwa lolKwan hajachanganyikiwa ?
Khaa.Hakuna ufake,hizo ni sindano za kroloquine,mimi mwenyewe nina shimo la sindano.
Soma profile yangu, vinginevyo wewe ni basha.Kwa io dawa inaingizwa kwenye tako moja halafu yanaumuka yote? Je na wewe una tako kubwa au umepigwa pasi?