Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Mmh!!
images.jpg
 
Naona kalibeba 'beef' la Diamond Mgongoni,Kuingilia magomvi ya watu.Yeye angeanza mahaba yake yeye kama yeye.Hayo mambo ya Vijembe kwa habari zisizo na uhakika wala haistawishi pendo lake.Kama kweli kuna penzi akumbuke Zari alipendwa zaidi yake just few months back!
Hujambo?
 
Ndio mama. Hakuna dawa ya kutoa stretch mark zilizoharibiwa na cream zaidi ya surgery. Wanadanganya sijui upake bio oil sijui mafuta ya nazi ila dawa ni surgery. Na Wema akiharibika sana maskini.
Daaah miili hii inavumilia mengi kwa kweli
 
Back
Top Bottom