Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

Huyu ndo yule kamanda mstaafu !!! Mwanamke asipokuwa na akili sehemu ziumiazo ni kusin magharib
Kamanda yupi huyo? aliyasema wapi hayo? Kwenye PRESS CONFERENCE? eti kusini magharibi? ila bibie toka 2006 wakuu wana-pump tu daah!
 
Aisee Jinsi wema alivyoumbikaa kwa kweli Diamond yupo sahihi kurudiana nae...!! Hakuna wanaume rijali asiependa wowo.....wooo hasa zurii ka lileee..!! Mondi ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]madame[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Uharo tu hamna kitu hapo, na hilo sio tako bali ni mfano wa tako. Ameshazeeka bado anajiona katoto kadogo, WHAT A SHAME? Siku hizi anabembea na mekapu tuu. Bila mekapu huyu mama angekuwa kituko mitandaoni haki. Kama diamond alimuacha Zari ili amuowe huyu basi namfananisha na mtu aliyeruka mavi akadondokea chooni...
 
Wana Jaf
Hakika Wema kajaliwa sauti na mzigo pia. Ikiwa akaamua kuwa mwanamziki na akapewa support tupo wengi watakaoudhuria kuona mwana African beaty akizungusha mzigo. Juzi kaonyesha kidogo tu watu kadhaa wamechanganyikiwa; wapo waliotaka kama kuna maonyesho ya mashindo ya binti zigo yeye na masogange watachuana lakini Wema atashinda kutokana kuwa anezoea kushinda alafu ana sauti mzuri.

Ikiwa kama atahitaji watunzi wa verse tupo wengi sana ilimradi tu awe mwanamziki kama alivyokuwa miss jack mke wa Mzee Mengi. Wema achana na maigizo umejaliwa mashabiki na sauti pia . Maigizo utachelewa sana; ikiwezekana ingia hata kwenye taarabu maana wachezaji unao wengi tuuu.
 
Mi namshauri angeimba ndombolo maana ule ndio mziki unaoendana na kuzungusha makalio.
 
Back
Top Bottom