saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata.
Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati wa kuwamaliza viongozi waadilifu na wachapakazi Serikali kama Dkt. Mollel kwa kisingizio chochote kile.
Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati wa kuwamaliza viongozi waadilifu na wachapakazi Serikali kama Dkt. Mollel kwa kisingizio chochote kile.