Japo hata mimi hua na shaka na wenye kumshauri mama lakini siamini kama Dr Mollel ataweza kutoa maoni kama hayo wakati yumo ndani ya serikali.Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata.
Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati wa kuwamaliza viongozi waadilifu na wachapakazi Serikali kama Dk Mollel kwa kisingizio chochote kile.
Unaijua akili za Mollel lakini?Japo hata mimi hua na shaka na wenye kumshauri mama lakini siamini kama Dr Mollel ataweza kutoa maoni kama hayo wakati yumo ndani ya serikali.
Yule Mollel ni kichwa hewa Sana!Japo hata mimi hua na shaka na wenye kumshauri mama lakini siamini kama Dr Mollel ataweza kutoa maoni kama hayo wakati yumo ndani ya serikali.