Wakuu Kwema??
Weekend hii nikiwa zangu Home napumzika baada ya Pilikapilika za Week nzima nikasema nipitie Channels za TV za Music hapa Bongo nione wana Mpya gani.
Mara ukaja Wimbo wa Young D wa gari yangu. Wimbo mzima amelisifia gari lake sijui lina hili, mara lina lile. Gari limesifiwa weeee, kila aina ya sifa limepewa hilo gari kuanzia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho wa wimbo.
Sasa toka Wimbo unaanza nikasema hata kuna kakipande nitaona hata mfano tu wa hilo gari lakini wapi. Kila wimbo unavyosogea nasikiliza kuliona hilo gari linafafanaje lakini hakuna kitu, namuona mwanzo mwisho Young D anavimba tu kideoni. Yaani tunaambiwa kuhusu Gari lakini kumbe gari-hewa.
Baada ya kuwaza sana nikafikiri kumbe inawezekana Young D (Na wengine wenye tabia hii) wanaonaga sababu wamelipia ku shoot hii video basi wanahakikisha wanauza sura vya kutosha tu ili ku make sure hata hela yao inaenda kihalali. Yaani wanaona sio sawa walipie shoot ya videonhalafu vionekane vitu vingine.
Kama ni kweli basi huu ni ulimbukeni wa hali ya juu sana. Sio lazima kila kinachoimbwa kionekane lakini kusifia kitu mwanzi mwisho halafu hata hatukioni hicho kitu japo kidogo tu ni makosa ya kiufundi sana,