Video ya Gari Yangu ya Young D, Kielelezo cha Ukosaji wa Ubunifu wa Wasanii Wetu

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Wakuu Kwema??

Weekend hii nikiwa zangu Home napumzika baada ya Pilikapilika za Week nzima nikasema nipitie Channels za TV za Music hapa Bongo nione wana Mpya gani.

Mara ukaja Wimbo wa Young D wa gari yangu. Wimbo mzima amelisifia gari lake sijui lina hili, mara lina lile. Gari limesifiwa weeee, kila aina ya sifa limepewa hilo gari kuanzia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho wa wimbo.

Sasa toka Wimbo unaanza nikasema hata kuna kakipande nitaona hata mfano tu wa hilo gari lakini wapi. Kila wimbo unavyosogea nasikiliza kuliona hilo gari linafafanaje lakini hakuna kitu, namuona mwanzo mwisho Young D anavimba tu kideoni. Yaani tunaambiwa kuhusu Gari lakini kumbe gari-hewa.

Baada ya kuwaza sana nikafikiri kumbe inawezekana Young D (Na wengine wenye tabia hii) wanaonaga sababu wamelipia ku shoot hii video basi wanahakikisha wanauza sura vya kutosha tu ili ku make sure hata hela yao inaenda kihalali. Yaani wanaona sio sawa walipie shoot ya videonhalafu vionekane vitu vingine.

Kama ni kweli basi huu ni ulimbukeni wa hali ya juu sana. Sio lazima kila kinachoimbwa kionekane lakini kusifia kitu mwanzi mwisho halafu hata hatukioni hicho kitu japo kidogo tu ni makosa ya kiufundi sana,
 
Yaani idea ya kuiba ni ngumu Sana kuitendea haki. Idea ya gari yangu huyo dogo kaiba kwa jamaa anaitwa Carlos, icheki og song yenyewe inaitwa hivyo hivyo ipo YouTube na kashirikishwa huyo huyo young dee

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani toka mwanzo mpaka mwisho hakuna japo funguo tu au hata kuiona hiyo gari japo kwa mbali, ni yeye tu mwenye gari ndo tunamuona
 
Hata mimi nilijiuliza hili swali au labda kamaanisha wale madem ndio gari zake!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana na hili aisee, maana wasanii hawa wana misemo sana
 
Mleta mada una ubongo mwepesi mno..., Yaani umeshindwaje kuelewa hiyo tafsida ndogo namna hiyo?
Ndo nyie mkiambiwa na washkaji zenu "nyumba ni choo" mkipishana na mdada mnaanza kuuliza "kivip nyumba iwe choo?"
Hahahahaaaah!
 
Hiyo kitu ipo miaka mingi

Mfano nyimbo hii ya miaka hiyo haina uhalisia na nyimbo/yani picha haielekeani na maelezo

Nyimbo inaongelea mrembo namba nane lakini wadada waliopo kwenye video ni namba moja

kwa akili hizi hushindwi kuhoji wanakwaya wanao msifu Mungu mbona video zao Mungu aonekani wanaonyesha mashati ya vitenge tu!!
Wakuu Kwema??

Weekend hii nikiwa zangu Home napumzika baada ya Pilikapilika za Week nzima nikasema nipitie Channels za TV za Music hapa Bongo nione wana Mpya gani.

Mara ukaja Wimbo wa Young D wa gari yangu. Wimbo mzima amelisifia gari lake sijui lina hili, mara lina lile. Gari limesifiwa weeee, kila aina ya sifa limepewa hilo gari kuanzia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho wa wimbo.

Sasa toka Wimbo unaanza nikasema hata kuna kakipande nitaona hata mfano tu wa hilo gari lakini wapi. Kila wimbo unavyosogea nasikiliza kuliona hilo gari linafafanaje lakini hakuna kitu, namuona mwanzo mwisho Young D anavimba tu kideoni. Yaani tunaambiwa kuhusu Gari lakini kumbe gari-hewa.

Baada ya kuwaza sana nikafikiri kumbe inawezekana Young D (Na wengine wenye tabia hii) wanaonaga sababu wamelipia ku shoot hii video basi wanahakikisha wanauza sura vya kutosha tu ili ku make sure hata hela yao inaenda kihalali. Yaani wanaona sio sawa walipie shoot ya videonhalafu vionekane vitu vingine.

Kama ni kweli basi huu ni ulimbukeni wa hali ya juu sana. Sio lazima kila kinachoimbwa kionekane lakini kusifia kitu mwanzi mwisho halafu hata hatukioni hicho kitu japo kidogo tu ni makosa ya kiufundi sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa akili hizi hushindwi kuhoji wanakwaya wanao msifu Mungu mbona video zao Mungu aonekani wanaonyesha mashati ya vitenge tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni idea tu, hakuna aliewahi kumuona. Kila mmoja ana Image yake kichwani juu ya Sir God alivyo alivyo. Na Wengine huamini kua hayupo.

But Magari yapo mengi tu, tunayona, tunapishana nayo na tunayajua kila iitwayo leo.

Sehemu pekee ambako picha ya gari hilo lililoimbwa linapatikana ni kwenye "Cover" ya audio, lakini kwenye video nzima hakuna hilo gari.
 
Yaani idea ya kuiba ni ngumu Sana kuitendea haki. Idea ya gari yangu huyo dogo kaiba kwa jamaa anaitwa Carlos, icheki og song yenyewe inaitwa hivyo hivyo ipo YouTube na kashirikishwa huyo huyo young dee

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau OG Version Gari inaonekana, ni AUDI, lakini sio huu wa Young Dee. By the way naona kama kuna uhuni umefanyika hivi. Mnamtoa mwenye wimbo kwenye verses kisha kwa verses zilezile na instrumental ile ile mnaita ndo remix, ni nini hiki?

OG Version

Remix Version
 
Gari anamaanisha Demu.

Punguza Wenge.
Mwenye wimbo kasema aliutoa huo wimbo baada ya kununua gari yake ya kwanza, Wewe hiyo ya demu umeipata Wapi??

Back
Top Bottom