Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

Mm nimependa wanenguaji tu kwenye hiyo video hasa hao blacks vitu vingine nawaachia nyie.
 
Diamond ni kijana bright sana, mpambanaji, mwenye maono lkn lazima niseme ukweli kuwa bado ni 'mshamba sana'...........ye alivyoona bendera tu yenye asili ya marekani akaone, 'enheee, ngoja niwaonyeshe kina mjomba mchumali ninavyokufahamu u.s.a!'

Ana mambo mengi tu yanayoashiria uswahili fulani,......kulipanuapanua domo lake lile kila mwanzoni au mwishoni mwa nyimbo zake. Kupanua domo na kuonyesha meno ya dhahabu/almasi (za kina lil Wayne kitaaambo huko) n.k
 
Kapania kweli,naona matangazo ya wimbo hadi kwenye app za free vpn
 
Inahitaji umakini sana mpaka kuiona maana inaonekana kidogo.
Labda kwa asiyeifahamu!!mfano bendera ya USA, hata ukiweka vi nukta tu, ukamuuliza mbongo ni bendera ya wapi atakwambia sembuse hilo linavyoonekana!!
 
Wanaiita confederation flag, ni bendera inayotumiwa na wazungu wabaguzi WA rangi kama king Klux Klan.
Sasa mtoto WA tandale kaponzwa na producer maana Hana elimu
 
Ukiiona hiyo bendera then jua wanaoitumia kama symbol yao kwasasa wanasapoti haya mambo ambayo walifanyiwa our black people. View attachment 2127925View attachment 2127926View attachment 2127927View attachment 2127930View attachment 2127932View attachment 2127928View attachment 2127929View attachment 2127931
images%20(54).jpg
 
Back
Top Bottom