Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Watabadili mkiwa wengiWabadili mbinu wachache tushashitukia propaganda za hivi.
Team yake walipaswa kuliona hilo.Ametumia confederate flag???!!!!
Pamoja Mkuu Nimeiona
km ni hivyo basi hongera yake!Hapo ndiyo faida kwake kuongeza viewers,maana Kila mtu ataelekea huko kuangalia.....bizinesi strateji
Labda kwa asiyeifahamu!!mfano bendera ya USA, hata ukiweka vi nukta tu, ukamuuliza mbongo ni bendera ya wapi atakwambia sembuse hilo linavyoonekana!!Inahitaji umakini sana mpaka kuiona maana inaonekana kidogo.
TumkosoeeeeHata mimi namkosoa hivyo hivyo kama wadau wengine wa mtandaoni
Inahamashisha utumwa, ilikua inatumiwa na wazungu waliokua Wana advocate utumwa uendeleeeKwani hiyo flag ina shida gani???
Hata mimi sijui namkosoa hivohivo kama wengine wala sijui hataHata mimi namkosoa hivyo hivyo kama wadau wengine wa mtandaoni