Nyie watu mna viroja si kidogo...
Tatizo Wabongo mnajifanya mnawajua sana Wamarekani na Marekani yao kuliko wanavyojijua wenyewe! Hizo confederation flags na nemba zake US watu bado wanazivaa let alone kuonekana kwenye filamu mara kwa mara, seuze kutokea kwenye wimbo wa Diamond!!
Btw, hivi Diamond awe na ushamba kiasi hicho kwa sababu zipi hasa? Kwavile mnamuona hajaenda shule, ama?
Hivi kwavile nyie mna elimu mathalani kuliko 50 Cent ndo mnataka kusema 50Cent ni mshamba kuliko nyie?
Na hivi Diamond ameenda US mara ngapi?
Hivi amezungukwa na wasomi wangapi?
Tuseme yeye hajaenda shule... ina maana hata SA Director aliye-direct hiyo video na mwenyewe hajaenda shule?
Hivi kwa akili yenu huo wimbo ungekuwa na hayo mnayosema, hivi hao Grammy wangeupitisha wakati Grammy works with African American community?
Wengine wanaojifanya hapa kuujua huo u-cowboy hata Nairobi tu hapo hawajawahi kukanyaga lakini wanataka kujifanya wanaujua u-cowboy kuliko WOOOOOOTE waliohusika na hiyo video!!
Narudia, labda Diamond ashutumiwe kufanya video kwenye counter ambayo kwa juu kuna hizo bendera lakini sio eti ku-promote confederate flag!
Wimbo ulianza kuwa posted na Grammy... hakuna hiyo bendera kwenye video.
Pia wimbo umekuwa posted kwenye channel yake... huo ulio kwenye channel yake ndio unaweza kuona just flashing the lower part of the flag...
View attachment 2130547
And the flashing takes place within a second kiasi kwamba kama huja-concentrate wala huwezi kuona!
Na ukiwa positive unaona moja kwa moja kulikuwa na jitihada za kutaka kutoionesha hiyo bendera but the editor missed that small part!