Nilitoa comment ya kawaida kuhusu wimbo kama nilivyowahi kuta kuhusu nwimbo wowote, lakini huyu bwana alinijibu vibaya, ndiyo maana nikamrudia. Comments zangu kuhusu nyimbo mbalimbali zimo humu, siyo nyimbo za diamond tu. Inategemea watu wanakuwa wanaongelea nini.