screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Tetema 25 MKwenye tuzo za Afrimma imeingia kwenye category ya best video of the year Sasa wewe na waandaji Nani ana akili lakini pia ndio video yenye viewers wengi kuliko video yoyote ya east Africa kwa mwaka huu Ina viewers mil 15.