Video ya inama ya Daimond na Fally Ipupa ni moja ya video mbaya ingawa wimbo mzuri

Video ya inama ya Daimond na Fally Ipupa ni moja ya video mbaya ingawa wimbo mzuri

Kwenye tuzo za Afrimma imeingia kwenye category ya best video of the year Sasa wewe na waandaji Nani ana akili lakini pia ndio video yenye viewers wengi kuliko video yoyote ya east Africa kwa mwaka huu Ina viewers mil 15.
Tetema 25 M
 
Khe sasa mbona unanitukana ndugu yangu!!..mimi wala sijakutukana!!..anyway mimi huwa sizikubali bolingo,na ndo maana hata huu mwimbo wa inama sijauelewa kwa kweli...
Naraudia tena shenzi type imba wako eboooooh mwana gubu msieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew
 
ile video ni kubwa sana.. kumpa yule kenny haifanye haikuwa sahihi..

keny kaharibu ile video...

video ina kina bad gal cassie, afronovo kids, na ma dancer kibao wakubwa. ila kenny scene nyingi zimejaa waswahili tu na masweta yao ya blue...
 
Kwenye tuzo za Afrimma imeingia kwenye category ya best video of the year Sasa wewe na waandaji Nani ana akili lakini pia ndio video yenye viewers wengi kuliko video yoyote ya east Africa kwa mwaka huu Ina viewers mil 15.
Swala la nyimbo kuwepo kwenye nomination za hio kategori sio tiketi ya ushindi. Vipi kama itapata kura chache??

Kuangaliwa na watu wengi haina maan ndio video kali. Labda ilipata hio hype kutokana na watu kusema "Video ni mbovu" na watu wakaipa views ili kuhakikisha.
 
Back
Top Bottom