Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Huyo mwongo mkuu, ni mbinu yake kukutia majaribuni.
 
Huko Rwanda mchina kapigwa jela 20 years kwakumchezeshea kichapu mfanyakazi wa kinyarwanda. Kigame amemwambia your money can't buy our dignity Africa is our land.
 
Alafu kuna mpumbavu mmoja na chuki yake ya kibaguzi ya rangi... Anakazana waarabu waarabu... WENYEWE TAMAA YA PESA NA KUPENDA MAISHA YA JUU NDIO WANAFANYA HAO WANAWAKE... KUNA ANAYELAZIMISHWA...? HEBU ACHA CHUKI YA UBAGUZI WA RANGI...

ALAFU NI UJINGA KUHUKUMU KUNDI ZIMA KWA UPUMBAVU WA MTU MMOJA... NI UJINGA...

TUSEME WABONGO WOTE NI MAFISADI WEZI NA WADHULUMISHI... ETI KWA SABABU YA UFISADI WA WATU WACHACHE WALIOKO SERIKALI...?
 
Huyu jamaa mnampata vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuwa member active sana jukwaani kule na stori zake daily ni kwa mpalange tu
Yule mende mkubufu.[emoji2][emoji1787]

Cockroach man[emoji2]

But very humble citizen
 
Mi sioni Kama Jamaa ni wa kulaumiwa

Kuna video ya mdada wa Nigeria last week imeenda viral analiwa na mbwa

Bila aibu amejitokeza kuwashangaa wanaomshangaa
 
Inasikitisha sana...

Alafu wamemlisha ya haja haswa, kayala yote na kumeza mpaka yameisha...
 

Pole sana but mimi nisingetoka mpaka nimalize kula tena ningekaaa na kuchat kabisa hahah huko kwao watunyanyase na nchini kwangu waninyanyase hapana kwakweli!
 
Pole sana but mimi nisingetoka mpaka nimalize kula tena ningekaaa na kuchat kabisa hahah huko kwao watunyanyase na nchini kwangu waninyanyase hapana kwakweli!
Muhudumu a nakwambia toka wewe utaendelea kukaa?
 
Muhudumu a nakwambia toka wewe utaendelea kukaa?

Duh ila ningewarecord wote huo upumbavu yeye kaajiriwa tu kama hao waarabu wanampa hela ili awafanyie waAfrica wenzake hivo ingejulikana sasa
 
Mbona yapo kila sehemu , Mbona hata tz yanafanyika au kwasababu aliyefanya ni mwarabu?
 
Huko Rwanda mchina kapigwa jela 20 years kwakumchezeshea kichapu mfanyakazi wa kinyarwanda. Kigame amemwambia your money can't buy our dignity Africa is our land. View attachment 2209851

Huyo anaepigwa na mchina, if kama ndio amepigwa na mtu mweusi ingechukuliwa kitu cha kawaida sana. Lakin white people italeta maana tofauti. Waafrika wengi ni wabaguzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…