Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai



umeongea maneno ambayo yamenitia uchungu sana.....inasikitisha sana kuona mweusi mwenzetu anafanya mambo kama hayo eti Fantasy sikui scat anapewa hela...kwa kula mavi?...
 
Fantasy sijui mara Scatt sijui.....tutumieni basi video ya binti wa kiarabu akinyewa na kula mavi ya Mwafrica.....hii ni dharau kuuubwa sana kwa WaAfrica...

Dada zetu wanauza sana utu kwa kuendekeza ukahaba ili waishi maisha mazuri , madada makahaba kutoka Africa wanafanyiwa uhuni mwingi sana na wamejaa sana hayo maeneo wakiuza ****...na wengine ni mwendo wa go and return, wanakwenda kupiga kambi akirudi na $10000 na matanuzi basi mabinti wengine wanamuona ndio role model wao...... Turkey, India, Dubai, China kabla ya Corona, Malyasia japo siku hizi naona hawaendi sijui kwa nini.....yaani ni aibu maana kama machokoraa..
 
angekuwa ni Mmarekani kauwawa na Polisi wa USA basi ungeona wamarekani wa Africa wanavyolalamika huku...

Kuna haja ya kuanza kuchapa bakora dada zetu huku Africa tuwafundishe adabu na kulinda utu wa mtu mweusi...ikiwezekana wabaki tu nyumbani Africa kuliko kwenda kuzurula na kudhalilisha Mwafrica kila uchwao...

Tena hawa dada zetu wa Kitanzania miaka 10 mbele watakuwa janga la dunia, maana wamejaa kila kona ya dunia kufanya ukahaba na wengi wao elimu wala malezi hawana basi wajiendeaendea tu na Wanigeria wanakuja kuwachukua huku na kuwatumia kwenye issue zao.....amkeni mama zetu na dada zetu..
 
Usipojiheshimu mwenyewe basi ujue utakutana na wasio na heshima na kutokukuheshimu.....
 
Kuna mmoja mpumbavu mwanafunzi toka zambia kaenda kukata viungo ile michezo ya mikatiko ya kingono kama alivyokatika mobeto kwenye wimbo wake wa kupromote ngono jina ex wangu. Kaenda kukatika kwenye makaburi ya wapiganaji wa Nazi vita vya pili vya dunia. Mamlaka ya Urusi imemtia hatiani. Check unapeleka litoto likasome chuo Urusi linaenda aibisha familia kukata viuno kwenye makaburi.
 

😂😂😂 MKuu waarabu sio watu wazuri, Hawachelewi kukufanyia kitu Mbaya. Ndugu zetu wengi tamaa zinawaponza
 
Ukisikia mdada yeyote ruti zake Dubai au anakaa Dubai, akili icheze kichwani.

Kama ni mke/mchumba wako anaishi huko, mdau tafadhali chukua hatua, jua umepigwa na kitu kizito kichwani.

Dubai ni habari ya mjini kwa starehe na ufrauni.

Mkuu hapa bongo wadada wengi wanaojifanya wanakwenda Dubai kwa ajili ya Biashara ni majanga matupu, Kwa kweli waume zao wanatilisha huruma
 
Tatizo ya waafrica tunaminya ya wenyewe kwa wenyewe. Kazi hatupeani wacha wadada wakasake tonge huko maana huku mtaani ata kazi ukitaka upewe maboss wanataka wakukule kwa mshahara wa laki tatu
 
Mleta mada acha kiherehere, Wenzio wapo kwenye Starehe zao wewe unapata shida. Kuna alielazimishwa hapo? Si wanafanya yao kwa makubaliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…