Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Sasa siutume humu tugawane zambiVideo naiangalia hapa, ni shida tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa siutume humu tugawane zambiVideo naiangalia hapa, ni shida tupu.
Hapana swala ni maadili. Taifa kama China, walitumia miaka mingi sana kufundisha discipline kwa kizazi chao ili wawe na vizazi kama viwili vya watu wenye discipline ya kuchapa Kazi na kutengeneza thamani kupitia uzalishaji.
Matendo kama rushwa, uvivu, uzembe, uonevu, unyonyaji, dharau, na kadhalika huwa yalipewa adhabu kali sana ambazo katika dunia ya leo tutakimbilia kusema ni kinyume na haki za binadamu. Yote ilifanyika ili kujenga spirit ya watu ambao watasimamia malengo marefu ya vizazi vijavyo na kujenga taifa lao.
Ndio maana China miaka ya 1960 walikuwa kama sisi kiuchumi na hawakuwa mbali na sisi. Ila ndani ya hii miaka wamewekeza katika discipline na waliacha siasa za mazoea na za kuigaiga mataifa mengine na wameweza leo kujenga spirit ya uchapaji kazi leo china ina raia very sharp na wachapakazi tena wenye usongo sana wa maendeleo na hawawendekezi uzembe kwenye taifa lao.
Sisi hapa watu wanaiba mabilioni ya pesa tunawatetea waliwekwa ndani.
Watu wanafuja mali ya uma, wanahujumu miundo mbinu wanaiibia serikali na jamii sisi tunacheka tu na sheria zipo butu.
Watoto wanaishi wanavyotaka na wazazi hawana time. Wanawake na wanaume hawana malengo ya pamoja ni mashindano tu ya kipumbavu.
Wanawake wanawawaona wanaume wa taifa lao ni maadui zao na hivyo hawapo tayari kuwatii ila akija mzungu hata kama ni kapuku mwanamke wa kitanzania atamtii kwa adabu zote.
Hayo mambo machache ndio
yanatengeneza kizazi cha namna hii ambacho hakina utetezi katika jamii yake na kuishia kudhalilishwa namna hii.
Unadhani angekuwa ni binti wa uingereza au raia wa kimarekani tena mzungu hiyo video ingeachwa, kwanza hao jamaa wangetafutwa kwa kila namna na wangewajibishwa.
Nani alikwambia hayo ni maovu?Kuna watu humu wako katika harakati za kuhalalisha maovu. Eti kinks, mara sijui k ni chafu kuliko m*vi. Mshindwe na mlegee.
Mnataka tuwe na vizazi vya sexual addicts na deviants? Tutakuwa na watu wa aina gani kwenye jamii?
Wazungu wanadanganya kuwa ni mambo ya kawaida na kila mtu anapenda kitu chake lakini ni uongo wa hali ya juu madhara yake ni mafaa. Kumnyea mtu ni kink tu? Na hii mitandao na video za ngono mnazopenda kuangalia sijui kwa kweli. Yangu macho. Mtasema mmelogwa lakini mnajiloga wenyewe.
Na hao wanaopenda kujiuza wajue tu wakipoteza utu wao wamepoteza maisha hata wawe na pesa kiasi gani.
Kwani kula mavi ni dhambiSasa unakula mavi ili upewe hela, hizo hela unazopewa nazo haziwezi kuwa hela bali ni uchafu utakaokuingiza kwenye ufalme wa shetani na wewe kuendelea kuwa mtumwa kwenye ushetani.
Nikome. Kula m*vi ni sawa na kuvaa nguo fupi? Kumnyea mtu ni sawa na kutembea uchi? Apples and oranges. Una uwezo wowote wa kufikiri? Kama unafanya hivyo ni wewe usitake kuhalilisha jamii nzima ifuate mkumbo wako.Nani alikwambia hayo ni maovu?
Enzi za Mababu na Mabibi zetu walikuwa hawavai nguo, baadae wakawa wanavaa nguo kuficha sehemu zao za siri unataka kutwambua walikuwa wanafanya maovu.
Mabibi zetu na Mama zetu walikuwa wanavaa nguo fupi ambazo hazivuki magoti unataka kusema walikuwa wanafanya maovu?
Nani alikwambia kula mavi ni maovu?
NItumie Bsi rafikiNimeiona video sio nzuri kabisa
Unayo matatizo makubwa sana!Nikome. Kula m*vi ni sawa na kuvaa nguo fupi? Kumnyea mtu ni sawa na kutembea uchi? Apples and oranges. Una uwezo wowote wa kufikiri? Kama unafanya hivyo ni wewe usitake kuhalilisha jamii nzima ifuate mkumbo wako.
Tena ngoja nikutupie kwenye ignore list yangu.
Hizo ni njaa tu, huwezi furahia hiyo kitu hata iweje. Hakuna cha fantasy wala nini ni umaaluni wa mwanaume + njaa za wanawake.Mavi kweli? Yaani ufurahie kinyesi? Kuna dhambi duniani
Unawazungumziaje wakurupukaji wanaowasema waarabu (waislam) kwamba ndio wameleta ushenzi huu??Chief labda we ndo wa kwanza kuona video hizo. Mbona zipo nyingi bila kujali race ukiingia kwenye website za ngono. Ni wewe tu na kichefuchefu chako. Mbona wazungu wanafanya Sana hayo. Hapo hakuna udhalilishaji ni makubaliano ya watu wazima kwa tamaa ya pesa
Wanawake kama hawataki kufuata maelekezo ya Dini ya Uislam, wataendelea kudhalilika tu no matter what.Umeongea kwa uchungu sana mkuu,hii dunia kuna wakati huwa naitafakari halafu nakosa majibu.Wanawake wanao dhalilishwa huko mitandaoni ni wengi sana,hizo picha na video za namna hiyo ziko nyingi sana mitandaoni,kinachonishangaza wanawake ambao ninaamini ni jeshi kubwa wapo wengi tu na hasa waliosoma na wana nafasi kubwa sana kwenye serikali za hii dunia,lakini huwezi kuona wakiungana ili kuweza kupinga udhalilishaji wa namna hii,Vitu kama hivi ndio vimesabababisha wanawake kuendelea kuonekana ni chombo cha starehe au kutumika vibaya na hatimaye kudhalilishwa kwa kiasi hiki...