Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

Wabongo kuiga iga ndio zetu..hiyo baba lao yenyewe kuanzia audio mpaka video ina mahadhi ya YOPE.....

Tujifunze kuwa tunasema kweli hata kama ukweli unauma
angalau yope inamuhusisha Diamond ...

sasa huyo jamaa yenu alikuwa anaiga akiwa WCB ikawa kawaida maana ni mwanafamilia ila sasa amehama ila bado ubunifu ni mdogo mnoo
 
Viewers zinasaidia nini? Less than $1 per 1,000 views?

Usijekuamini kwamba wasanii wanapata hela kutoka YouTube, ni kiwango kiduchu sana akitoshi ata kununua Tecno K7.
Tatizo watu wamekariri video ikiwa youtube ikapata views basi mwenye video anaingiza hela.

Kuna viewers na views, Youtube haikulipi kwa views bali kwa viewers. Wewe muangaliaji utaona 2M views lakini yeye mmiliki wa video ataonyeshwa viewers na views. Unaweza kuta video ina views 2M lakini viewers laki tano au saba tu coz kuna die hard fans wanaoangalia video hata mara hamsini.
 
Uteam unawasumbua tu . Kushoto kulia ilivyotoka tu mlisema mbaya ila ngoma imetusua kinoma .. imetoka video..tena mnakuja na copy ya baba Lao .. ila sio mbaya mnavyomjadili yeye anazidi kukua kimziki tuu ..
 
Acheni uongooo..video haijakopiwa kokote. haiendani kabisaa na hizo video mnazolinganisha kiufupi video kaliiiii.
 
Randy orton, unajua kunavideo za muziki nying sana duniani kwamba unaweza ukatoa video yako ikawa inafanana na ya mwanamziko mwingine.
 
Haya mambo yana shida zake aisee
 
Videl haziendani wewe hujaangalia vizuri nimeangalia kwanza kuanza kwao kila mmoja nitofauti na diamond kutaja viongozi kaiga wimbo wa harmonize ule wakumsifu magufuli kwa hiyo kwa hapo umeno ongea kingine naukae kujua harmonize ndio anajua mziki kushinda baba lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…