Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Naona yule mwanaume wa JF aliekuwa amekuficha kakuachia leo!Videl haziendani wewe hujaangalia vizuri nimeangalia kwanza kuanza kwao kila mmoja nitofauti na diamond kutaja viongozi kaiga wimbo wa harmonize ule wakumsifu magufuli kwa hiyo kwa hapo umeno ongea kingine naukae kujua harmonize ndio anajua mziki kushinda baba lao
Mbaya aisee mods walifanya yao ila itafahamika tu mpwa [emoji23][emoji23]
Ndio mwaya siulishindwa mziki ukasepa niambie lakini upo??Naona yule mwanaume wa JF aliekuwa amekuficha kakuachia leo!
Hebu achana na mavideo ya watu!.Wabongo kuiga iga ndio zetu..hiyo baba lao yenyewe kuanzia audio mpaka video ina mahadhi ya YOPE.....
Tujifunze kuwa tunasema kweli hata kama ukweli unauma @Mad Max,
Umeandika ujinga wa karneUnapata wapi ujasiri wa kumdiscuss mtu anaaekuzidi kipato?
linaanza na E ends with NJina lake linaanzia na CO au?
Hahaha mimi nipo baada ya wewe kupotea na mimi nikaona bora nitoweke tu humu hakuna issueHebu achana na mavideo ya watu!.
Dada ako jolie na wewe mlipotelea wapi?..
Mimi tena!!... Ishakuwa nongwa basi bana.🙂Hahaha mimi nipo baada ya wewe kupotea na mimi nikaona bora nitoweke tu humu hakuna issue
Kuhusu jolie...nadhani mimi napaswa kukuuliza wewe "maana wewe sindiye alikuwa goma lako
Bora hata rayvanny....hili limakonde hamna kitu....
Ni ma domo kama domoMashabiki wa domo ka wachawi tu..
Ata Mond nayeye ka'copy kwa Kendrick Lamar kwenye Humble
Na wimbo wa baba lao Domo aliiga kwa nani?
Uteam unawasumbua tu . Kushoto kulia ilivyotoka tu mlisema mbaya ila ngoma imetusua kinoma .. imetoka video..tena mnakuja na copy ya baba Lao .. ila sio mbaya mnavyomjadili yeye anazidi kukua kimziki tuu .. View attachment 1280328