Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

Videl haziendani wewe hujaangalia vizuri nimeangalia kwanza kuanza kwao kila mmoja nitofauti na diamond kutaja viongozi kaiga wimbo wa harmonize ule wakumsifu magufuli kwa hiyo kwa hapo umeno ongea kingine naukae kujua harmonize ndio anajua mziki kushinda baba lao
Naona yule mwanaume wa JF aliekuwa amekuficha kakuachia leo!
 
Wabongo kuiga iga ndio zetu..hiyo baba lao yenyewe kuanzia audio mpaka video ina mahadhi ya YOPE.....

Tujifunze kuwa tunasema kweli hata kama ukweli unauma @Mad Max,
Hebu achana na mavideo ya watu!.
Dada ako jolie na wewe mlipotelea wapi?..
 
Hebu achana na mavideo ya watu!.
Dada ako jolie na wewe mlipotelea wapi?..
Hahaha mimi nipo baada ya wewe kupotea na mimi nikaona bora nitoweke tu humu hakuna issue

Kuhusu jolie...nadhani mimi napaswa kukuuliza wewe "maana wewe sindiye alikuwa goma lako
 
Hahaha mimi nipo baada ya wewe kupotea na mimi nikaona bora nitoweke tu humu hakuna issue
Kuhusu jolie...nadhani mimi napaswa kukuuliza wewe "maana wewe sindiye alikuwa goma lako
Mimi tena!!... Ishakuwa nongwa basi bana.🙂
 
Hivi hao watu waliofungwa hayo matambala wanapumua kweli..!!?[emoji848]
 
Bora ata harmonize kabadilisha kidogo ila domo kanya kabisa ... hahaha mashabiki wa domo wana akili kama za mama dangote na esma
Uteam unawasumbua tu . Kushoto kulia ilivyotoka tu mlisema mbaya ila ngoma imetusua kinoma .. imetoka video..tena mnakuja na copy ya baba Lao .. ila sio mbaya mnavyomjadili yeye anazidi kukua kimziki tuu .. View attachment 1280328
 
Back
Top Bottom