Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

Kwa style hii Mondi atabaki mawinguni miaka 800..

Ukiangalia video mpya ya Harmonize baadhi ya scenes/shots ni zile zile za kwenye nyimbo ya Baba Lao zimerudiwa save to trivial changes.

Sasa nashindwa kuelewa huyu mtu amerudia kwa makusudi ili aongelewe au ndio yeye na Director wa hiyo Video hawana ubunifu?

Kwa style hii, yale majinga ya kule mawingu yanaexpect huyu Rajabu ndio wakumuangusha Diamond platnumz kwelii!!!
Domo aanguke mara ngapi??! kijana!
 
Ninavyohisi lakini HARMONIZE HAJAONDOKA WASAFI na hatakaa aondoke hii ni kama wanatengeneza film moja kali sana.
Kwa style hii Mondi atabaki mawinguni miaka 800..

Ukiangalia video mpya ya Harmonize baadhi ya scenes/shots ni zile zile za kwenye nyimbo ya Baba Lao zimerudiwa save to trivial changes.

Sasa nashindwa kuelewa huyu mtu amerudia kwa makusudi ili aongelewe au ndio yeye na Director wa hiyo Video hawana ubunifu?

Kwa style hii, yale majinga ya kule mawingu yanaexpect huyu Rajabu ndio wakumuangusha Diamond platnumz kwelii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom