Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

Magufuli amekufa wanataka afufuke aje kuwatatulia hilo tatizo?
Sasa hivi kuna uongozi mwingine kama hawataki kueleza changamoto yao kwa uongozi uliopo basi wafie mbali wakazikwe Chato
Wewe ni t*ko tena la msudan wa kusini.
Anayeishi kambi ya wakimbizi.
 
Magufuli amekufa wanataka afufuke aje kuwatatulia hilo tatizo?
Sasa hivi kuna uongozi mwingine kama hawataki kueleza changamoto yao kwa uongozi uliopo basi wafie mbali wakazikwe Chato
Ndioooooo
 
kiwanja/ viwanja ulivyotaja vilichukuliwa tangu miaka ya 2000 mwanzoni huko. mtoni kwa azizi ally kilikuwa ni kiwanja cha ccm mpaka ilipo zahanati leo kikauzwa kabla hata huyo mama hajatoka kwao kuja hapa.... leo mnamlaumu kwa lipi?
 
INAHATARISHA SANA KUTOKUWEPO
MAENEO YA WAZI,WATU KUPUMZIKA KUFANYA MAZOEZI,MICHEZO NA WATOTO KUCHEZA
HIVI HII SERIKALI MBONA INACHUKULIA HAYA MAMBO POA POA

ova
 
Viwanja vya wazi vilivyouzwa
1. ABC TAZARA (temeke)
2.Temeke mwisho (file) karibu na stand ya kusini
3.Mwembeyanga kiwanja #1
4.Mwembeyanga kiwanja #2
5. Kuna kimoja jina nimelisahau kiko karibu na Airport.
Orodhesheni mnavyovijua nyie
 
Ni mwendo wa kutakatisha fedha mwanzo mwisho.
 
Magufuli huyu huyu aliyetuingiza Chaka la 360 za makinikia!
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Ila huyo ukimfuata hana ubavu wa kufyatua risasi, unampa mkongoto vizuri sana...
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Ila huyo ukimfuata hana ubavu wa kufyatua risasi, unampa mkongoto vizuri sana...
Watoto,watu hawana sehemu za kwenda kucheza na kupumzika

Sasa watoto wakacheze wapi,si watakuwa wanakwenda vichochoroni
Huko.....mwisho wa siku watakuwa wanajingiza kwenye mambo siyo

Alafu wahusika wako kimya tu

Ova
 
Pale dalali wa Ardhi anapopewa dhamana ya kulinda ardhi ya umma tena Kwa nafasi ya uwaziiiiii!!!

Rizaaa Moko bila MBELEKO ya wazazi angekuwa jobless tu kama vijana wengine wengi tu mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…